У нас вы можете посмотреть бесплатно Maneno Muhimu Katika Soko La Hisa Unayopaswa Kujua Kabla ya Kuwekeza или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:
Если кнопки скачивания не
загрузились
НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу
страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru
📊 Maneno Muhimu ya Hisa Unayopaswa Kujua Leo! 🚀 Je, unajua maana ya maneno kama Bid Price, Bid Quantity, Offer Price, Security na mengine muhimu katika soko la hisa? 🤔 Kama unataka kuwa mwekezaji bora, ni lazima uyafahamu! Katika video hii, ninaeleza kwa urahisi maana ya maneno haya na jinsi yanavyokusaidia kufanya maamuzi sahihi katika uwekezaji. 🔹 Maneno Unayojifunza Leo: ✅ Bid Price – Bei ya juu zaidi ambayo mnunuzi yuko tayari kulipa kwa hisa. ✅ Bid Quantity – Idadi ya hisa ambazo mnunuzi anataka kununua kwa bei fulani. ✅ Offer Price – Bei ya chini zaidi ambayo muuzaji yuko tayari kuuza hisa. ✅ Security – Mali ya kifedha kama vile hisa, bondi, au hatifungani. … na mengine muhimu unayohitaji kujua! 🔔 Usikose! Kama unapenda maudhui haya, bonyeza Like, Subscribe, na shiriki na marafiki zako wanaopenda uwekezaji!