У нас вы можете посмотреть бесплатно WAZIRI MKUU AZITAKA MAMLAKA ZA SERIKALI ZA MITAA KUONGEZA UWAZI KATIKA MIRADI NA MAPATO или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:
Если кнопки скачивания не
загрузились
НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу
страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru
Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Dkt. Mwigulu Nchemba (Mb.), amesisitiza umuhimu wa mamlaka za Serikali za Mitaa kuongeza uwazi katika utekelezaji wa miradi katika Halmashauri. Pia amesisitiza kwamba mapato yote ya Halmashauri yawe wazi na yafahamike kwa Waheshimiwa Wabunge na Madiwani. Maelekezo hayo yametolewa na Waziri Mkuu wakati akitoa hotuba ya kuahirisha Mkutano wa Pili wa Bunge la 13, leo Februari 6, 2026, Jijini Dodoma. Aidha, Waziri Mkuu amewaagiza viongozi wa Halmashauri kuhakikisha kwamba ratiba za vikao vya Mabaraza ya Madiwani zinapangwa kwa kuzingatia ratiba za vikao vya Bunge, ili Waheshimiwa Wabunge waweze kushiriki vikao hivyo kwa uwazi na ipasavyo.