У нас вы можете посмотреть бесплатно Watatu Wahukiwa Miaka Miwili Jela Kukutwa, Mali ya Wizi или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:
Если кнопки скачивания не
загрузились
НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу
страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru
Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, Dar es Salaam, imeamua mashtaka yanayowakabili vijana watatu (3) waliodaiwa kuvunja duka, kuiba na kukutwa na mali zinazodhaniwa kuwa ni za wizi. Oktoba 29, 2025. Mahakama imefuta mashtaka ya wizi na uvunjaji, lakini imetoa uamuzi wa kifungo cha miaka miwili jela kutokana na kosa la kukutwa na mali inayodhaniwa kuwa ni ya wizi. Hata hivyo, vijana hao bado wanakabiliwa na shtaka la uhaini. Wakili upande wa utetezi amesema kuwa wanapanga kukata rufaa Mahakama kuu, ili kupata uamuzi wa haki zaidi katika kesi hiyo. Unaweza kutufuatilia kupitia; TWITTER: / thechanzo INSTAGRAM: / thechanzo FACEBOOK: / thechanzo TIKTOK: https://www.tiktok.com/@thechanzo?is_... Au tembelea tovuti yetu: https://www.thechanzo.com Kutuunga mkono: https://thechanzo.com/support/ Je, una habari? wasiliana nasi kupitia Telegram/WhatsApp +255 753 815 105 The Chanzo 2026 © All Rights Reserved.