У нас вы можете посмотреть бесплатно HOSPITALI YA RUFAA YA TANGA BOMBO KUWA KITUO CHA UPASUAJI WA KUREKEBISHA VIUNGO AFRIKA MASHARIKI или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:
Если кнопки скачивания не
загрузились
НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу
страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru
Serikali kupitia Wizara ya Afya imesema Ujerumani imeridhia Ombi la Kuifanya Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Tanga Bombo kuwa Kituo Cha Umahiri Cha Upasuaji wa Kurekebisha Viungo ili Kumfanya Mtu arudi katika hali yake ya kawaida. Waziri wa afya UMMY MWALIMU ametoa Kauli hiyo wakati wa Mkutano wake na Waandishi wa habari katika hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Tanga Bombo mara baada ya kupata taarifa ya huduma za Upasuaji zinavyoendelea kufanywa na Madaktari bingwa Sita kutoka nchini Ujerumani. Aidha Waziri UMMY akatoa ufafanuzi juu ya Upasuaji unaofanyika kuwa ni wa kuweka sawa viungo vilivyoharibika kwa ajali mbalimbali kama Moto, Uvimbe, na sio Upasuaji wa Urembo( Kutengeneza Maumbile) ambapo Mpaka sasa Tayari wagonjwa 19 wameshafanyiwa Upasuaji kati ya 86 ambao wamekidhi vigezo.