• ClipSaver
  • dtub.ru
ClipSaver
Русские видео
  • Смешные видео
  • Приколы
  • Обзоры
  • Новости
  • Тесты
  • Спорт
  • Любовь
  • Музыка
  • Разное
Сейчас в тренде
  • Фейгин лайф
  • Три кота
  • Самвел адамян
  • А4 ютуб
  • скачать бит
  • гитара с нуля
Иностранные видео
  • Funny Babies
  • Funny Sports
  • Funny Animals
  • Funny Pranks
  • Funny Magic
  • Funny Vines
  • Funny Virals
  • Funny K-Pop

JE KUANGUKA, KIZUNGUZUNGU AU KUPOTEZA FAHAMU KWA MJAMZITO KTK UJAUZITO HUSABABISHWA NA NINI? скачать в хорошем качестве

JE KUANGUKA, KIZUNGUZUNGU AU KUPOTEZA FAHAMU KWA MJAMZITO KTK UJAUZITO HUSABABISHWA NA NINI? 3 года назад

скачать видео

скачать mp3

скачать mp4

поделиться

телефон с камерой

телефон с видео

бесплатно

загрузить,

Не удается загрузить Youtube-плеер. Проверьте блокировку Youtube в вашей сети.
Повторяем попытку...
JE KUANGUKA, KIZUNGUZUNGU AU KUPOTEZA FAHAMU KWA MJAMZITO KTK UJAUZITO HUSABABISHWA NA NINI?
  • Поделиться ВК
  • Поделиться в ОК
  •  
  •  


Скачать видео с ютуб по ссылке или смотреть без блокировок на сайте: JE KUANGUKA, KIZUNGUZUNGU AU KUPOTEZA FAHAMU KWA MJAMZITO KTK UJAUZITO HUSABABISHWA NA NINI? в качестве 4k

У нас вы можете посмотреть бесплатно JE KUANGUKA, KIZUNGUZUNGU AU KUPOTEZA FAHAMU KWA MJAMZITO KTK UJAUZITO HUSABABISHWA NA NINI? или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:

  • Информация по загрузке:

Скачать mp3 с ютуба отдельным файлом. Бесплатный рингтон JE KUANGUKA, KIZUNGUZUNGU AU KUPOTEZA FAHAMU KWA MJAMZITO KTK UJAUZITO HUSABABISHWA NA NINI? в формате MP3:


Если кнопки скачивания не загрузились НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru



JE KUANGUKA, KIZUNGUZUNGU AU KUPOTEZA FAHAMU KWA MJAMZITO KTK UJAUZITO HUSABABISHWA NA NINI?

Kizunguzungu Kwa Mjamzito, Kizunguzungu katika kipindi cha Ujauzito wako, Kizunguzungu katika Mimba, Kizunguzungu kwa Mjamzito, kizunguzungu Cha Ujauzito, Kizunguzungu katika Ujauzito, Kizunguzungu katika kipindi cha Ujauzito, Kizunguzungu Miezi Mitatu ya mwishoni mwa Ujauzito, Kizunguzungu Miezi Mitatu ya mwanzoni mwa Ujauzito. Kizunguzungu na kupoteza fahamu (Syncope in Pregnancy) kwa Mjamzito husababishwa na Upungufu wa usafirishwaji wa Damu kwenye Ubongo ktk kipindi cha Ujauzito kwa Mjamzito (Cerebral Hypoperfusion). Kutokana na mabadiliko ya Homoni (Progesteroni au Estrogeni) katika kipindi cha Ujauzito huweza kupelekea mabadiliko mbalimbali ktk mfumo wa usafarishaji wa Damu wa Mjamzito kama kuongezeka kwa Damu, kutanuka kwa Moyo (Eccentric hypertrophic of left ventricle) na kupungua kwa SVR. Mambo mengine yanayoweza kupelekea Mjamzito kupata Kizunguzungu, kuanguka na kupoteza fahamu katika Ujauzito ni kama; 1. Upungufu wa Sukari kwenye Damu(Hypoglycemia) katika kipindi cha Ujauzito. 2. Upungufu au Kupungua Presha au shinikizo la Damu (Hypotension) kwa Mjamzito katika kipindi cha Ujauzito. 3. Upungufu wa Damu (Anemia in Pregnancy) kwa Mjamzito katika kipindi cha Ujauzito. Hali hii huweza kuwapata Wajawazito 5 katika Wajawazito 100 hali huweza kuwapata Wajawazito katika kipindi cha Ujauzito inawezekana miezi mitatu ya mwanzoni(32%), katikati(44%) au Mwishoni mwa Ujauzito(24%). Haswa huwapata wajawazito katika Miezi Mitatu ya katikati mwa Ujauzito(44%) yaani Miezi 4, 5 au 6 ya Ujauzito. Dalili za kupoteza fahamu katika kipindi cha Ujauzito. Ni kama; 1. Mjamzito kuwa na kizunguzungu katika kipindi cha Ujauzito. 2. Mjamzito kupoteza fahamu katika kipindi cha Ujauzito. 3. Mjamzito kuona giza au mawenge katika kipindi cha Ujauzito. 4. Mjamzito kupoteza nguvu na kuanguka katika Ujauzito. 5. Mjamzito mwisho wa siku kuanguka katika kipindi cha Ujauzito. Athari zitokanazo na kuanguka au kupoteza fahamu katika kipindi cha Ujauzito. 1. Kujifungua Mtoto mwenye uzito wa chini au Uzito zaidi. 2. Kujifungua Mtoto kabla ya wakati au kabla ya Mimba kukomaa. 3. Mjamzito kupata shida za kupata shida za Moyo (Cardiac arrhythmias) Mara baada ya kujifungua. 4. Mjamzito kuanguka na kuumia au Mimba kuharibika na kuvunjika pia. MAMBO YA KUFANYA ILI KUEPUKA ATHARI KUTOKANA NA KUPUNGUKIWA KWA DAMU KWENYE UBONGO. 1. Kupunguza kusimama muda mrefu katika kipindi cha Ujauzito. 2. Kutoinuka au kusimama haraka haraka, jaribu kuamuka au kuinuka taratibu. 3. Kuvaa stocks ili kurudisha Damu nyingi kutokana sehemu ya chini ya mwili hususani Miguu kwenda moyoni. 4. Kutovaa Nguo zinazobana mwili kwa Mjamzito katika kipindi cha Ujauzito. 5. Kula mara kwa mara katika kipindi cha Ujauzito ili kutopata Upungufu wa Sukari katika kipindi cha Ujauzito. 6. Kutolalia Mgongo katika kipindi cha Ujauzito Mimba inapokuwa zaidi ya wiki 16. 7. Kuhakikisha Presha au shinikizo la Damu linakuwa kawaida katika kipindi cha Ujauzito. 8. Hakikisha Damu yako iko sawa katika kipindi cha Ujauzito. 9. Kaa sehemu yenye hewa safi katika kipindi cha Ujauzito. 10. Unaweza kukaa au kulala Chini unapohisi kizunguzungu kinakuja katika kipindi cha Ujauzito wako. Nifuatilie kwenye channel yangu kuhusu Mambo ya Ujauzito.    / drmwanyika   Nifuatilie Instagram kwa ajili ya Mambo ya Ujauzito.   / dr._mwanyika   Nifuatilie kwenye website hii kwa ajili ya Mambo ya Ujauzito. https://mamaafya.com/ Nifuatilie kwenye Facebook page kwa ajili ya Mambo ya Ujauzito.   / japideafya   Usisahau kudownload app ya Mama Afya Bora kwa ajili ya Mambo ya Ujauzito. https://play.google.com/store/apps/de... #drmwanyika #mamaafya #SyncopeInPregnancy

Comments
  • Fix You: Aina 7 za Mama Wakwe na Jinsi ya Kuishi nao - Na Aunt Sadaka 3 года назад
    Fix You: Aina 7 za Mama Wakwe na Jinsi ya Kuishi nao - Na Aunt Sadaka
    Опубликовано: 3 года назад
  • Je Kizunguzungu Kwa Mjamzito husababishwa Na Nini? (Sababu ya kizunguzungu kwa Mama Mjamzito). 3 года назад
    Je Kizunguzungu Kwa Mjamzito husababishwa Na Nini? (Sababu ya kizunguzungu kwa Mama Mjamzito).
    Опубликовано: 3 года назад
  • Ukiwa na DALILI hizi 10, fahamu kuwa wewe ni MJAMZITO tayari | Bonge la Afya 4 года назад
    Ukiwa na DALILI hizi 10, fahamu kuwa wewe ni MJAMZITO tayari | Bonge la Afya
    Опубликовано: 4 года назад
  • AFYA YA AKILI: FAHAMU ATHARI ZA HOFU KATIKA  MAISHA 5 лет назад
    AFYA YA AKILI: FAHAMU ATHARI ZA HOFU KATIKA MAISHA
    Опубликовано: 5 лет назад
  • Dalili hatari kwa Mjamzito | Dalili za hatari kwa Mama Mjamzito 5 лет назад
    Dalili hatari kwa Mjamzito | Dalili za hatari kwa Mama Mjamzito
    Опубликовано: 5 лет назад
  • ПОСЛЕ СМЕРТИ ВАС ВСТРЕТЯТ НЕ РОДСТВЕННИКИ, А.. ЖУТКОЕ ПРИЗНАНИЕ БЕХТЕРЕВОЙ. ПРАВДА КОТОРУЮ СКРЫВАЛИ 2 месяца назад
    ПОСЛЕ СМЕРТИ ВАС ВСТРЕТЯТ НЕ РОДСТВЕННИКИ, А.. ЖУТКОЕ ПРИЗНАНИЕ БЕХТЕРЕВОЙ. ПРАВДА КОТОРУЮ СКРЫВАЛИ
    Опубликовано: 2 месяца назад
  • FAHAMU MADHARA YA KIFAFA CHA MIMBA / DALILI KINGA 2 года назад
    FAHAMU MADHARA YA KIFAFA CHA MIMBA / DALILI KINGA
    Опубликовано: 2 года назад
  • DAWA ZINAZOINGILIANA NA VITAMIN B 9 FOLIC ACID KWA MAMA MJAMZITO 2 года назад
    DAWA ZINAZOINGILIANA NA VITAMIN B 9 FOLIC ACID KWA MAMA MJAMZITO
    Опубликовано: 2 года назад
  • MCL DOCTOR: TAMBUA SABABU ZINAZOPELEKEA MJAMZITO KUTOKWA NA DAMU UKENI NA SULUHISHO LAKE 7 лет назад
    MCL DOCTOR: TAMBUA SABABU ZINAZOPELEKEA MJAMZITO KUTOKWA NA DAMU UKENI NA SULUHISHO LAKE
    Опубликовано: 7 лет назад
  • JE NJAA KALI KWA MJAMZITO HUSABABISHWA NA NINI? | HAMU YA KULA KTK UJAUZITO HUTOKANA NA NINI? 3 года назад
    JE NJAA KALI KWA MJAMZITO HUSABABISHWA NA NINI? | HAMU YA KULA KTK UJAUZITO HUTOKANA NA NINI?
    Опубликовано: 3 года назад
  • Если у тебя спросили «Как твои дела?» — НЕ ГОВОРИ! Ты теряешь свою силу | Еврейская мудрость 2 недели назад
    Если у тебя спросили «Как твои дела?» — НЕ ГОВОРИ! Ты теряешь свою силу | Еврейская мудрость
    Опубликовано: 2 недели назад
  • Dalili hatarishi kwa mama mjamzito. 7 лет назад
    Dalili hatarishi kwa mama mjamzito.
    Опубликовано: 7 лет назад
  • Dalili Mbaya Kwa Mama Mjamzito NI Zipi? (Dalili Hatarishi Kwa Afya Ya Mjamzito Nenda Hospitali)!. 3 года назад
    Dalili Mbaya Kwa Mama Mjamzito NI Zipi? (Dalili Hatarishi Kwa Afya Ya Mjamzito Nenda Hospitali)!.
    Опубликовано: 3 года назад
  • Je Kulala Upande WA Kulia Kwa Mjamzito Ni Sahihi? (Kulalia Kulia Ktk Ujuazito Ni Sawa AU Lah?). 3 года назад
    Je Kulala Upande WA Kulia Kwa Mjamzito Ni Sahihi? (Kulalia Kulia Ktk Ujuazito Ni Sawa AU Lah?).
    Опубликовано: 3 года назад
  • ⚡️ Зеленский пожелал Путину смерти || Спецслужбы зашли в Москву 4 часа назад
    ⚡️ Зеленский пожелал Путину смерти || Спецслужбы зашли в Москву
    Опубликовано: 4 часа назад
  • ВРАЧИ В ШОКЕ!!! ЭТИ 7 ФРУКТОВ НАЧИСТО РАСТВОРЯЮТ ТРОМБЫ! 1 месяц назад
    ВРАЧИ В ШОКЕ!!! ЭТИ 7 ФРУКТОВ НАЧИСТО РАСТВОРЯЮТ ТРОМБЫ!
    Опубликовано: 1 месяц назад
  • Музыка лечит сердце и сосуды🌸 Успокаивающая музыка восстанавливает нервную систему,расслабляющая
    Музыка лечит сердце и сосуды🌸 Успокаивающая музыка восстанавливает нервную систему,расслабляющая
    Опубликовано:
  • ВОССТАНОВЛЕНИЕ НЕРВНОЙ СИСТЕМЫ! Музыка для глубокой души!Музыка, что лечит! Слушай и чувствуй 3 месяца назад
    ВОССТАНОВЛЕНИЕ НЕРВНОЙ СИСТЕМЫ! Музыка для глубокой души!Музыка, что лечит! Слушай и чувствуй
    Опубликовано: 3 месяца назад
  • Я не болела 43 года: 7 РИТУАЛОВ, я ИХ делаю КАЖДЫЙ ДЕНЬ. Профессор Ольга Шишова 2 недели назад
    Я не болела 43 года: 7 РИТУАЛОВ, я ИХ делаю КАЖДЫЙ ДЕНЬ. Профессор Ольга Шишова
    Опубликовано: 2 недели назад
  • Вольф Мессинг предсказал 2026 год 6 января 5 дней назад
    Вольф Мессинг предсказал 2026 год 6 января
    Опубликовано: 5 дней назад

Контактный email для правообладателей: [email protected] © 2017 - 2025

Отказ от ответственности - Disclaimer Правообладателям - DMCA Условия использования сайта - TOS



Карта сайта 1 Карта сайта 2 Карта сайта 3 Карта сайта 4 Карта сайта 5