У нас вы можете посмотреть бесплатно HATARI YA KUCHELEW KURUDI KWA MUNGU или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:
Если кнопки скачивания не
загрузились
НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу
страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru
Hatari ya kutoitikia sauti ya Roho Mtakatifu mara moja — Kuna hatari kubwa isiyoeleweka vizuri katika kuchelewesha kujitoa kwa sauti ya Roho Mtakatifu na kuendelea kuishi katika dhambi. Hii inaweza kusababisha moyo kuwamgumu na kupoteza uwezo wa kusikia wito wa Mungu. "Beware of procrastination. Do not put off the work of forsaking your sins and seeking purity of heart through Jesus. Here is where thousands upon thousands have erred, to their eternal ruin." wale wanaochelewesha maandalizi kwa siku ya Mungu hawawezi kuupata wakati wa shida au baadaye. Hii inaweza kusababisha kupatikana wanting (kupungukiwa) wakati wa majaribu makubwa au wakati wa kurudi kwa Kristo. Dhambi inaweza kuongezeka na moyo na moyo kumgumu — Kuchelewesha kunaruhusu Shetani kushinda nafsi, na hatimaye kusababisha upotevu wa milele. Pia, inaweza kusababisha kutokuwa tayari wakati wa shida au hukumu. Kuchelewesha kurudi kwa Mungu kunahatarisha upotevu wa milele (eternal ruin), kwa sababu moyo unaweza kuwamgumu, fursa ya toba inaweza kupita, na mtu anaweza kukutana na mateso, kifo cha ghafla, au hukumu bila kuwa amejitayarisha. Anasisitiza leo ndiyo siku ya wokovu — usisubiri kesho.