У нас вы можете посмотреть бесплатно SHAJARA | Nguvu ya Marekani katika kulitambua taifa la Palestina или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:
Если кнопки скачивания не
загрузились
НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу
страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru
Mataifa kadhaa yakiwemo Ureno, Canada na Ufaransa yameweka wazi nia yao ya kulitambua taifa la Palestina kama nchi huru ifikapo Septemba mwaka huu kupitia Baraza la Umoja wa Mataifa. Mchambuzi wa Masuala ya Kimataifa, Abdulaziz Jaad amedaikuwa hatua hiyo imeonekana kama sehemu ya msukumo mpya wa kimataifa wa kuunga mkono haki ya Wapalestina ya kujitawala na kuwa na taifa lao kamili. Hata hivyo, kwa Palestina kutambuliwa rasmi kama taifa huru ndani ya Umoja wa Mataifa, ni lazima iungwe mkono na mataifa yote matano yenye kura ya veto katika Baraza la Usalama. Hadi sasa, ni mataifa mawili pekee yenye nguvu hiyo ambayo yameonesha nia ya wazi ya kulitambua taifa hilo, jambo linalozua wasiwasi. #AzamTVUpdates ✍Juliana James Mhariri | John Mbalamwezi