У нас вы можете посмотреть бесплатно RC SENDIGA AWAGEUKIA MADIWANI, NIAMINI MANENO YANGU HUTOSHI WEWE, UTATUSAIDIA NINI? или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:
Если кнопки скачивания не
загрузились
НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу
страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru
RC SENDIGA AWATAKA MADIWANI KUHESHIMU MIPAKA YA MAJUKUMU YAO MKuu wa Mkoa wa Manyara Mhe. Queen Cuthbert Sendiga, amewataka Madiwani wa Halmashauri ya Wilaya ya Kiteto Mkoani Manyara kuheshimu mipaka ya majukumu yao. RC Sendiga, ametoa kauli hiyo wakati akifungua mafunzo ya Uongozi na Utawala bora kwa Madiwani yaliyoandaliwa na Ofisi wa Waziri Mkuu TAMISEMI yaliyo fanyika katika ukumbi wa Maktaba Wilayani Kiteto, leo Februari 10, 2026. "Madiwani mfanye kazi kwa kuheshimu mipaka ya majukumu yenu ili kuepuka migongano ya kiutendaji na badala yake muwajibike katika kuwahudumia Wananchi na kushiriki utatuzi wa migogoro ya ardhi katika kata zenu" amesema RC Sendiga.