У нас вы можете посмотреть бесплатно WEZI WAPO NA WANAPIGA KISAWASAWA, SHUGHULIKIENI - SHABIBY или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:
Если кнопки скачивания не
загрузились
НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу
страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru
Mbunge wa Jimbo la Gairo mkoani Morogoro, Ahmed Shabiby, amesema kuwa katika siku za nyuma wananchi walilazimika kujenga baadhi ya miradi ya kijamii kwa nguvu zao wenyewe, ikiwemo zahanati na shule, kutokana na uhaba wa rasilimali na usimamizi dhaifu. Ameeleza kuwa katika kipindi cha uongozi wa Rais Samia Suluhu Hassan, kumekuwepo na juhudi kubwa za Serikali katika kuboresha huduma za jamii, hatua aliyosema ni ushahidi wa kazi nzuri inayofanywa na Rais kwa manufaa ya wananchi. Akichangia mjadala wa Hotuba ya Rais Samia wakati wa kulifungua Bunge jijini Dodoma tarehe 14 Novemba mwaka jana, Shabiby amesema changamoto iliyopo siyo wananchi kutokuelewa kinachoendelea, bali ni baadhi ya watendaji wachache wasiokuwa waaminifu. Amebainisha kuwa wapo wanaotumia vibaya fedha za Serikali kwa tamaa na ulafi, huku akisisitiza kuwa wananchi wana uelewa mkubwa wa kinachoendelea. Ameongeza kuwa usimamizi wa rasilimali za umma unapaswa kuimarishwa zaidi, hususan kwa wale waliopewa dhamana ya kushughulikia fedha za Serikali, ili kuhakikisha uwajibikaji na haki vinazingatiwa kikamilifu.#BungeLaTanzania #AhmedShabiby #Gairo #Morogoro #HotubaYaRais #RaisSamia #Uwajibikaji#FedhaZaUmma #Maendeleo #SerikaliYaAwamuYaSita #tmcnews565 #tmcnews565#tmcnews565#BungeLaTanzania#Bunge#Dodoma#SiasaTanzania#Tanzania #SerikaliYaTanzania#MjadalaBungeni#KikaoChaBunge#HojaBungeni#MaswaliNaMajibu #SheriaMpya#Wabunge#Mbunge#Spika#NaibuSpika#Waziri#Uwajibikaji#Demokrasia #Maendeleo#HakiNaUsawa#SautiYaWananchi