У нас вы можете посмотреть бесплатно HII NI VITA: AWESO AUKANA UMASIKINI WA VYANZO VYA MAJI AITAJA KAMPUNI INAYOYAIBA или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:
Если кнопки скачивания не
загрузились
НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу
страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru
Waziri wa Maji, Juma Aweso, amesema Tanzania si nchi masikini wa vyanzo vya maji, akibainisha kuwa rasilimali hiyo ipo ya kutosha katika maeneo mbalimbali ya nchi. Hata hivyo, amesisitiza kuwa changamoto kubwa iliyopo ni upotevu wa maji, hali inayosababishwa kwa kiasi kikubwa na vitendo vya wizi wa maji vinavyofanywa na baadhi ya watu na makampuni katika maeneo mbalimbali. Amesema Serikali inaendelea kuchukua hatua za kudhibiti upotevu huo kwa kuimarisha usimamizi, matumizi ya teknolojia na uwajibikaji kwa mamlaka za maji, ili kuhakikisha rasilimali hiyo inalindwa na kunufaisha wananchi ipasavyo. Aweso amesisitiza kuwa nidhamu katika matumizi ya maji ni muhimu kwa maendeleo endelevu na upatikanaji wa maji safi na salama kwa wote.#WizaraYaMaji #JumaAweso#MajiSafinaSalama #SektaYaMaji#ZuiaUpotevuWaMaji #MajiKwaWote#Uwajibikaji #Maendeleo #SerikaliYaAwamuYaSita