У нас вы можете посмотреть бесплатно WAKULIMA LUNGUZA, WALIA NA WAFUGAJI KULISHA MIFUGO MAZAO YAO. или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:
Если кнопки скачивания не
загрузились
НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу
страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru
Wananchi WA Kijiji Cha lungunza wamemuomba mwenyekiti wa CCM mkoa Tanga kuwasaidia adha wanayokutana nayo ya wafugaji kulisha wanyama katika mashamba yao Wakizungumza katika mkutano wa hadhara kwa niaba Mwananchi Abduli Mohamed amesema kitendo Cha kuwekeza katika kilimo na wafugaji kulishia katika mashamba Yao hawakifurahii Kwa upande wake Rashid shangazi mbunge wa Jimbo la Mlalo akaelezea Hali ilivyo katika mgogoro wa wakulima na wafugaji katika Kijiji hicho Shangazi amesema muingiliano wa wakulima na wafugaji unahitaji kufanyiwa kazi usije ukaleta matatizo makubwa zaidi. Katika kuhakikisha wananchi wote ni sawa mwenyekiti wa CCM mkoa wa Tanga Rajabu Abdallah akawataka wananchi kuwa wavumilivu wakati chama na serikali ikishughulikia changamoto hiyo.