У нас вы можете посмотреть бесплатно UVCCM KAGERA WATAKA JESHI la POLISI KUTAJA WAHUSIKA wa MAUAJI ya MTOTO ALBINO - FARIS AFUNGUKA... или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:
Если кнопки скачивания не
загрузились
НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу
страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru
UVCCM KAGERA WATAKA JESHI la POLISI KUTAJA WAHUSIKA wa MAUAJI ya MTOTO ALBINO - FARIS AFUNGUKA... Mwenyekiti Wa Umoja wa Vijana Wa Chama Cha Mapinduzi Uvccm Mkoa wa Kagera Bw Faris Buruani Amewataka Jeshi la Polisi Mkoa wa Kagera Kutaja Wahusika wa Mauaji ya Mtoto Albino Wilayani Muleba Mkoani Kagera. Akizungumza Mara Baada Ya Kufika Katika Eneo La Tukio Mwenyekiti wa Uvccm Mkoa wa Kagera Amesema Kuwa Jeshi La Polisi Mkoa wa Kagera Wanatakiwa Kutoa Taarifa Zaidi Juu Ya Waliohusika Na Mauaji Ya Mtoto Asimwe Ambaye Amepumuzishwa Jana Katika Nyuma Yake Ya Milele Baada Ya Kupata Mwila Wake Umetekelezwa Njiani. "Kwa Mda Mrefu Kidogo Tumekuwa Tumeshasahau Matukio Ya Kupoteza Watoto Wenye Ulemavu Wa Ngozi Kuanzia Sasa Tunalitaka Jeshi La Polisi Kutoa Taarifa Kwa Mda Huu Kujua ni nani Aliyehusika Katika Tukio Hili Mwenyekiti wa Uvccm Mkoa wa Kagera Comred Faris Buruani " Sisi Umoja Wa Vijana Mkoa Wa Kagera Tuna Masikitiko Makubwa na Kitendo Hiki kilichotokea,Sisi Umoja wa VijanaTunalaani Kitendo Hiki Kilichotokea Cha Mauaji ya Mtoto Mwenye Ualbino ila Tunaomba Wananchi Wa Kijiji Cha Buramula Kuendelea Kuwa na Amani Katika Kipindi Hili Kigumu. Jishindie Zawadi na Global TV Jaza sehemu zifuatazo hapo chini ili kuingia kwenye droo ya kujishindia zawadi mbali mbali na Global TV 👉🔥👉https://forms.gle/aU9zsYyXNyKWmd3f7 ============================================================ ⚫️ JE, NA WEWE UNA HABARI? ⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE: ( +255 739 750910), ( +255 783453136) ⚫️ Email: globaltvonlinenews@gmail.com ⚫️ OUR PLAYLISTS: ⚫️ MICHEZO na BURUDANI: • Habari zote za michezo na Burudani Tanzania! ⚫️ HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA: http://bit.ly/mikasa_ya_kusisimua ⚫️ GLOBAL RADIO TV: http://bit.ly/255globalradio ⚫️ EXCLUSIVE INTERVIEW: http://bit.ly/exclusive_interviews ⚫️ SIKILIZA + 255 GLOBAL RADIO LIVE: http://ndstream.net/globalradio/ ⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP: ⚫️ ANDROID:http://bit.ly/38Lluc8 ⚫️ iOS:https://apple.co/38HjiCx