У нас вы можете посмотреть бесплатно WAZIRI BASHUNGWA APIGA KAMBI LINDI, BARABARA YA LIWALE NANGURUKURU YAANZA KUPITIKA или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:
Если кнопки скачивания не
загрузились
НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу
страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru
Waziri wa Ujenzi, Innocent Bashungwa ameipongeza timu ya Wataalam kutoka Wizara ya Ujenzi na Wakala wa Barabara Nchini (TANROADS), kwa kufanya kazi usiku na mchana kuhakikisha wanarejesha mawasiliano ya barabara ya Liwale - Nangurukuru ambayo imeanza kupitika. Waziri Bashungwa ameeleza hayo leo Machi 08, 2024 mkoani Lindi wakati akikagua urejeshwaji wa miundombinu ya barabara na madaraja kutokana na mvua kubwa iliyonyesha na kusababisha barabara kuu na madaraja yanayounganisha wilaya ya Liwale na maeneo mengine kufungwa.