У нас вы можете посмотреть бесплатно KAMPENI ZA CCM WILAYANI LUSHOTO || PINDA ATOA NENO, WANALUSHOTO WAAHIDI ZAWADI KWA MAGUFULI или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:
Если кнопки скачивания не
загрузились
НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу
страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru
Waziri Mkuu Mstaafu Mizengo Pinda amewaomba wananchi wa Wilaya ya Lushoto wamchague Rais Magufuli ili aweze kutekeleza ahadi yake ya kutengeneza ajira 800,000 kwa vijana na kuzidi kuongeza kipato kwa wananchi ili waweze kufanya shughuli za maendeleo kuliko miaka mitano iliyopita. Ombi hilo amelitoa wakati akimnadi mgombea Ubunge wa Jimbo la Lushoto, Shabani Shekilindi maarufu kama "BOSNIA" wakati wa uzinduzi wa kampeni za CCM ngazi ya Jimbo la Lushoto uliofanyika Tarafa ya Mlola wilayani hapa. Shekilindi ametumia fursa hiyo kuomba wananchi wa Mlola na Jimbo la Lushoto kwa ujumla wamchague tena ili kazi ya kuleta maendeleo iendelee na aende bungeni kupigania changamoto zilizobakia. Mwenyekiti wa CCM wa Mkoa wa Tanga, Henry Shekifu alieleza kuwa tayari chama hicho kimeshashinda kwa asilimia 30 kwa kuwa tayari madiwani 75 kati ya 245 na mbunge mmoja kati ya majimbo 12 ambaye ni January Makamba wamepita bila kupingwa.