У нас вы можете посмотреть бесплатно MKURUGENZI AWAPONGEZA WATUMISHI IDARA YA AFYA, ATOA WITO KWA WATENDAJI WA KATA NA VIJIJI или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:
Если кнопки скачивания не
загрузились
НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу
страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru
MKURUGENZI AWAPONGEZA WATUMISHI IDARA YA AFYA, ATOA WITO KWA WATENDAJI WA KATA NA VIJIJI Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Hanang', Teresia Irafay amewapongeza watumishi wa afya kwa kufanya vizuri katika ukusanyaji wa mapato. Pongezi hizo amezitoa Novemba 21, 2025 katika kikao kazi na waganga wafawidhi, watendaji wa kata na vijiji pamoja na wakuu wa idara kilichofanyika katika ukumbi wa halmashauri. Ukusanyaji wa mapato katika vituo vya afya kwa robo ya kwanza mwezi Julai -Septemba idara ya afya imekusanya shilingi 207,856,600 sawa na asilimia 103.87 ya shilingi 200,100,00 iliyolengwa. Katika hatua nyingine, Irafay, amemuagiza mkuu wa divisheni ya utawala na lasilimali watu, kuwachukulia hatua za kinidhamu watendaji wa kata na vijiji ambao mapato yao yapo chini ya asilimia 25. Kwa upande wake, mkuu wa divisheni ya utawala na lasilimali watu wa halmashauri, Gerald Mwarekwa amewataka watumishi kuzingatia miongozo ya utumishi wa Umma kwa kuhakikisha wanatoa huduma bora kwa wananchi.