У нас вы можете посмотреть бесплатно ADAIWA KUPIGWA ROBA HADI KUFA NA ABIRIA WAKE или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:
Если кнопки скачивания не
загрузились
НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу
страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru
TABORA: Kijana mmoja anayejulikana kwa jina la Kimwaga Rashidi Kimwaga (40), mkazi wa Bomba Mzinga Manispaa ya Tabora, athibitishwa na Jeshi la polisi kuuawa baada ya kushambuliwa na watu wasiojulikana wakati akifanya kazi yake ya usafirishaji kwa pikipiki (boda boda). Akizungumza kuhusu tukio hilo, Kamanda wa Polisi Mkoa wa Tabora SACP. Richard Abwao amesema tukio hilo lilitokea usiku wa kuamkia Machi 15, 2026 majira ya saa nane katika eneo la Miembe Mingi, Kata ya Mbugani, Manispaa ya Tabora. Follow us on: FACEBOOK; SpotiLeo: / spotileo-176. . HabariLeo: / habarileo DailyNews: / dailynewstz INSTAGRAM; HabariLeo: https://instagram.com/habarileo_tz?ig... SpotiLeo: https://instagram.com/spotileo?igshid... TWITTER; Twitter HabariLeo: https://twitter.com/HabariLeo?s=09