У нас вы можете посмотреть бесплатно WAZIRI WA ULINZI STERGOMENA TAX AWASILI MTWARA KWA ZIARA YA KIKAZI или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:
Если кнопки скачивания не
загрузились
НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу
страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru
Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa, Mheshimiwa Dkt. Stergomena Lawrence Tax (Mb) jioni ya tarehe 05 Oktoba 2024, amewasili Mkoani Mtwara kwa ziara ya Kikazi. Mara baada ya Kuwasili Mtwara,Waziri Stergomena Tax amepokelewa na Mwenyeji wake Mkuu wa Mkoa Mtwara Kanali Patrick Sawala aliyeongoza uongozi wa mkoa. Akizungumza baada ya kuwasili, Waziri Tax amemshukuru Mkuu wa Mkoa na uongozi mzima wa mkoa wa Mtwara kwa mapokezi mazuri na kusema kuwa katika ziara yake atapata wasaa wa kutembelea na kujionea na kuzindua miradi ya maendeleo. #wizarayaulinzi #jwtz #jkt