У нас вы можете посмотреть бесплатно Makala: Madai kuwa wakaazi wa Goma wanapokea maji chafu kutoka kwa kampuni ya Yme Jibu. или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:
Если кнопки скачивания не
загрузились
НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу
страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru
#goma #drc #fakenews Tangu Novemba, 3, 2025, ukurasa wa facebook kwa jina, Swahili Fasil kwa maana ya kiswahili kinachoeleweka na kila mtu, ukurasa huu una wafuasi zaidi ya elfu 85, ulichapisha habari ya kupotosha inayodai kampuni ya maji ya Yme Jibu, ilisambaza maji chafu yenye rangi ya njano kwa wakazi mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo. Katika kuhakiki, tulifanya mahojiano na Jacque KAHORA, mkuu wa shirika la Yme Jibu ambaye alipuuzilia mbali shutuma hizo akisema shirika lake linasambaza maji safi kwa wakaazi wa Goma. Kauli yake ilithibitishwa mwandishi wetu wa Goma baada ya uchunguzi katika maeneo husika.