У нас вы можете посмотреть бесплатно RC SONGWE APITA SHULE HADI SHULE KUKAGUA MAPOKEZI YA WANAFUNZI WA KIDATO CHA KWANZA... или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:
Если кнопки скачивания не
загрузились
НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу
страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru
Mkuu wa Mkoa wa Songwe Omary Mgumba amewataka wakuu wa shule wote msingi na sekondari kuwapokea wanafunzi wa kidato cha kwanza na darasa la kwanza licha ya kuwa bado hajawakamilisha mahitaji ya shule. Hayo ameyasema wakati ya ziara yake ya kukagua na kutembelea katika baadhi ya shule wilayani Mbozi na kuona hali halisi ya wanafunzi kuwasili shule ambapo Jana tarehe 17 shule zilifunguliwa tayari kwa kuanza muhula wa masomo. Aidha Mgumba amesema upande wa shule za sekondari changamoto ya Vyumba Vya madarasa limemalizika huku shule za Msingi kukiwa bado changamotoza hasa katika wilaya ya mbozi hivyo Mapato ya Ndani yatasaidia kumalizia madarasa katika shule za Msingi. RC SONGWE APITA SHULE HADI SHULE KUKAGUA MAPOKEZI YA WANAFUNZI WA KIDATO CHA KWANZA... WATCH WASAFI TV📺 AZAM - 411 | DSTV - 296 | ZUKU - 028 | STAR TIMES - 444 & 333 | COCONUT TV - 20 | DODOMA CABLE - 113 LISTEN WASAFI FM 📻 88.9 DAR/ZNZ/PWANI 📻 | 104.1 DODOMA 📻 | 94.5 ARUSHA 📻 | 97.3 MBEYA 📻 | 94.9 MWANZA 📻 | SHINYANGA 106.3 📻 | KIGOMA 101.7 📻 Follow Us On: INSTAGRAM: / wasafitv || / wasafifm TWITTER: / wasafitv || / wasafifm FACEBOOK: / wasafitv 𝑪𝒐𝒑𝒚𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕 ©2021 𝑾𝒂𝒔𝒂𝒇𝒊 𝑴𝒆𝒅𝒊𝒂. 𝑨𝒍𝒍 𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕𝒔 𝒓𝒆𝒔𝒆𝒓𝒗𝒆𝒅. #wasafi #wasafitv #wasafifm