У нас вы можете посмотреть бесплатно 📌Kuchuja Damu Sasa ni 160,000 tu! Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Kilimanjaro,Mawenzi. или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:
Если кнопки скачивания не
загрузились
НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу
страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru
Serikali Imetenga shilingi bilioni 3 kwa mwaka wa fedha 2025/26 kwa ajili ya kuanza Ujenzi wa Jengo jipya la Ghorofa sita linalitarajia kugharimu shilingi bilioni 13 ili kuongeza utoaji huduma katika hosptali ya rufaa mkoa wa Kilimanjaro Mawenzi. Mganga mfawidhi Wa Hosptali ya Rufaa ya Mkoa Mawenzi,Abdilah Issa Amesema Hayo Feb 04,2026 wakati wa ziara ya Katibu wa Halmashauri Kuu ya Taifa (NEC), Siasa na Uhusiano wa Kimataifa wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Rabia Abdallah hosptalini hapo, ikiwa ni maadhimjisho ya miaka 49 ya chama hicho. Amesema Serikali imeendelea Kuwekeza Katika Hosptali Hiyo na kurahisisha utolewaji wa huduma ikiwemo kukamilika kwa jengo la mama na mtoto pamoja na Kukamilika kwa Mtambo wa Kuzalisha hewa tiba ya Oxygen. Aidha Ameeleza Kuwa Hosptali hiyo imeanza kutekeleza maagizo ya serikali ya kuhakikisha gharama za kuchuja damu kwa wagonjwa wa figo zisizidi shilingi laki moja na elfu 60. Akizungumza kwa niaba ya wanaopata huduma za afya, hospitalini hapo Venerana Masawe Amesema Uboreshwaji wa Huduma za afya hasa kitengo cha mama na Mtoto kimewapa faraja kwani kwa sasa wanapata huduma bora na za kiwango cha juu