У нас вы можете посмотреть бесплатно LORI LA MIZIGO LAGONGA NYUMBA MTWARA| MAMA NA MTOTO WANUSURIKA KIFO или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:
Если кнопки скачивания не
загрузились
НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу
страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru
Lori la Mizigo lenye Namba za usajili T193 AEG, limegonga Nyumba katika Mtaa wa Liyawile kata ya Tandika Manispaa ya Mtwara Mikindani Mkoani Mtwara leo Disemba 31, 2024. Ajali hiyo imetokea wakati ndani ya Nyumba hiyo kukiwa na watu wawili ambao ni Mama na Mtoto wake, hata hivyo hawajaathirika na tukio hilo. Aidha, ajali hiyo imesababisha kuvunjwa kwa ukuta wa mbele wa Nyumba hiyo, ambapo Dereva aliyesababisha ajali hiyo ametokomea kusikojulikana. Vilevile Mashuhuda wa ajali hiyo wamesema wanahisi chanzo cha ajali hiyo ni kufeli kwa breki. Hata hivyo Jeshi la Polisi Mkoani humo limefika mapema katika eneo hilo na kuhakikisha kuwa usalama unashika nafasi yake na kukamilisha taratibu zingine za kipolisi. Faida Online TV tutazidi kufuatilia tukio hilo ili kujua chanzo chake, Tafadhali endelea kutufuatilia. #FaidaOnlinetvUPDATES #sisiniwatuwafield