У нас вы можете посмотреть бесплатно Rais Ruto aonya wanasiasa dhidi ya kuingiza siasa za vurugu Makanisani или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:
Если кнопки скачивания не
загрузились
НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу
страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru
Rais William Ruto amewahimiza viongozi wa kisiasa kutoingiza siasa katika maeneo ya kuabudu kufuatia kuvugwa kwa ibada ya Kanisa huko Othaya, kaunti ya Nyeri Juma lililopita. Akizungumza wakati wa ibada ya Jumapili katika Kanisa la PEFA eneo la Gikombaa, Rais Ruto alisema kuwa makanisa yanapaswa kusalia kuwa mahali pa amani, maombi na umoja, akionya dhidi ya kugeuza madhabahu kuwa majukwaa ya makabiliano ya kisiasa. Baadaye Rais alihutubia wenyeji katika Soko la Gokombaa ambapo alihaidi kuhakikisha kuwa anaboresha miundomsingi na mazingira ya Jiji la Nairobi. Viongozi walioandamana na Rais walimuakikishia uungwaji mkono katika kuona kwamba anarejea kwa muhula wa pili.