У нас вы можете посмотреть бесплатно SERIKALI KUJENGA BARABARA YA NJIA NNE MKOANI MWANZA или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:
Если кнопки скачивания не
загрузились
НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу
страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru
Wizara ya Ujenzi kupitia Wakala wa Barabara (TANROADS) imejipanga kikamilifu kuleta mapinduzi ya miundombinu katika Jiji la Mwanza kupitia ujenzi wa barabara ya njia nne kuanzia Mwanza Mjini hadi Usagara pamoja na njia ya mabasi ya mwendokasi, hatua inayolenga kufungua fursa mpya za kiuchumi kwa jiji hilo na mikoa jirani. Akizungumza kuhusu mradi huo, Meneja wa TANROADS Mkoa wa Mwanza, Mhandisi Ambrose Pascal amesema kuwa maandalizi ya ujenzi yamekamilika na utekelezaji utaanza mara tu baada ya kumpata Mkandarasi mshindi wa zabuni iliyotangazwa.