У нас вы можете посмотреть бесплатно AJALI YAUA WATU 14 NA KUJERUHI WATU NANE MOROGORO "MADEREVA WOTE WAMEFARIKI. или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:
Если кнопки скачивания не
загрузились
НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу
страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru
Watu 14 wamefariki Dunia na wengine 8 kujeruhiwa katika ajali iyohusisha Lori la Mizigo lililokuwa linatokea dar kwenda Morogogoro na Coaster iliyokuwa inatokea Morogoro kwenda Dar usiku huu eneo la Mikese barabara kuu ya Morogoro _ Dar es Salam Mganga Mkuu wa Hospitali ya Rufaa Mkoa Morogoro Nkungu Daniel amethibitisha kupokea kwa miili hiyo na majeruhi ambapo amesema waliofariki bado miili Yao haijatambulika. Nkungu amesema kati ya marehemu 14 wanawaume ni 8 na wanawake 6 huku majeruhi wanaendelea na Matibabu katika hospitali hiyo Mkuu wa Mkoa wa Morogoro Adam Malima amefika hospital ya Rufaa Mkoa Morogoro wanakopatiwa matibabu majeruhi hao ambapo ametoa wito wananchi kufikia katika hospital hiyo Ili kutambua miili ya ndugu zao. Katika ajali hiyo madereva wote wamepoteza maisha Ayo tv na Millard ayo .com inafanya inaendele kufanya jitihada za kulitafuta jeshi la polisi kwa taarifa zaidi.