У нас вы можете посмотреть бесплатно VIPEPERUSHI VYA USHOGA VYASITISHA MKUTANO TABORA или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:
Если кнопки скачивания не
загрузились
НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу
страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru
#HABARI: Vyombo vya Dola mkoani Tabora vimesitisha mkutano wa kidini uliopangwa kufanyika Machi 19 hadi 22, uliotarajiwa kuongozwa na kiongozi kutoka Amerika Kaskazini. Hatua hiyo imechukuliwa baada ya kubainika usambazaji wa vipeperushi na vifaa vinavyohamasisha mapenzi ya jinsia moja katika mitaa na shule 55 mkoani humo, jambo lililozua taharuki na kupelekea vyombo vya usalama kuingilia kati ili kulinda maadili na utulivu wa jamii. Kufuatia tukio hilo, washirika 20 wa kiongozi huyo wameagizwa kuondoka mkoani Tabora mara moja, huku wenyeji wawili wakitakiwa kuripoti polisi kwa mahojiano zaidi kuhusu usambazaji wa vifaa hivyo. Mamlaka zimesisitiza kuwa uamuzi huo ni wa kiusalama wakati uchunguzi wa kina ukiendelea kubaini mtandao mzima uliohusika na ujumbe huo unaokwenda kinyume na sheria na utamaduni wa nchi. Powered by #MCHEZOSUPA JINSI YA KUSHIRIKI MCHEZO SUPA: Tuma 1000 kupitia Airtel Money, Tigo Pesa, M - Pesa, Halopesa, kwenda namba ya kampuni 222223 kumbukumbu namba ni 777 au weka neno ITV. #ITVDigital #ITVUpdates #ITVTanzania #Follow @itvtz @radioonetanzania @capitaldigitaltanzania. Usisahau kutufuatilia katika mitandao yetu ; Subscribe to our Youtube Channel : http://bit.ly/itvtanzania Facebook : https://bit.ly/2KeQNl3 Twitter : https://bit.ly/2XG7aii Instagram : https://bit.ly/34KItmg