У нас вы можете посмотреть бесплатно JAMII YATAKIWA KUIMARISHA MALEZI NA UWAWAJIKAJI KULINDA ELIMU YA VIJANA или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:
Если кнопки скачивания не
загрузились
НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу
страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru
Washiriki mbalimbali wakiwemo walimu, wazazi, wanafunzi na viongozi wa serikali walipata fursa ya kutoa maoni yao, wakisisitiza umuhimu wa malezi bora, ufuatiliaji wa karibu wa watoto pamoja na uwajibikaji wa jamii kwa ujumla katika kulinda mustakabali wa elimu ya vijana. Wametoa maoni hayo katika mdahalo wa wazi uliofanyika katika Shule ya Sekondari Bunda, mdahalo ambao uliandaliwa na Radio Mazingira FM kwa kushirikiana na UNESCO. Mdahalo huo ulilenga kuchambua kwa kina chanzo cha wanafunzi kukatisha masomo au kuishia kuishi mitaani, pamoja na kujadili suluhu za kudumu zitakazosaidia kurejesha wanafunzi shuleni na kuboresha ustawi wao wa kijamii na kielimu.