У нас вы можете посмотреть бесплатно 🔴 khutba ya ijumaa| Usiingie Ramadhani Bila kujitayarisha или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:
Если кнопки скачивания не
загрузились
НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу
страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru
Bismillāhi r-Raḥmāni r-Raḥīm 🕌 Khutba ya Ijumaa (Ijumaa ya mwisho kabla ya Ramadhani) 🎙 Khatwib: Ustadh Rashid Martin Kigulu 📍 Mahali: Masjid Taqwa 📝 MADA: Usiingie Ramadhani Bila Kujitayarisha Vizuri Khutba hii inalenga kuwaamsha Waumini kuhusu umuhimu wa kujiandaa kiroho, kimaadili na kimatendo kabla ya kuingia katika mwezi mtukufu wa Ramadhani. Khatwib anafafanua namna sahihi ya kuipokea Ramadhani kwa toba ya kweli, kuongeza ibada, kuimarisha mahusiano mema na kujiepusha na maasi. 📖 Ushahidi wa Qur’an na Hadithi: “Enyi mlioamini! Mmefaradhishiwa saumu, kama ilivyofaradhishwa kwa waliokuwepo kabla yenu, ili mpate kumcha Allah.” (Qur’an, Al-Baqarah: 183) Mtume Muhammad ﷺ amesema: “Atakayefikiwa na Ramadhani kisha asisamehewe dhambi zake, basi amepata hasara.” (Imepokelewa na Ahmad) Na Mtume ﷺ amesema pia: “Ramadhani ni mwezi wa mwanzo wake ni rehema, kati yake ni maghufira, na mwisho wake ni kuokolewa na Moto.” (Imepokelewa na Bayhaqiy) 📢 Tunawahimiza Waumini wote kusikiliza khutba hii kwa makini, kutafakari mawaidha yake na kujiandaa ipasavyo kuupokea mwezi mtukufu wa Ramadhani. 🔔 USISAHAU ✅ Subscribe Masjid Taqwa TV 👍 Like video 💬 Andika maoni yako 🔁 Share kwa ndugu na marafiki 🕌 Imeandaliwa na Uongozi wa Masjid Taqwa 📺 Masjid Taqwa TV 🔖 Hashtags #KhutbaYaIjumaa #Ramadhani #MaandaliziYaRamadhani #MasjidTaqwa #MasjidTaqwaTV #Daawah