У нас вы можете посмотреть бесплатно WAZIRI AWESO ATOA SIKU 60 MAJI YAPATIKANE KILINDI или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:
Если кнопки скачивания не
загрузились
НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу
страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru
Waziri wa maji Jumaa Aweso ametoa siku 60 Meneja wa wakala wa maji vijijini Ruwasa Alex Odena na Mkurugenzi Mtendaji wa Mamlaka ya Maendeleo ya Maji Songe Philipo Bajuta kuhakikisha huduma ya maji safi na salama inqpatikana ndani ya muda huo na miradi iliyoaza kutekelezwa inakamilika kwa wakati ili watu wa kilindi wapate maji. Akizungumza wakati akiendelea na ziara yake mkoani Tanga wilayani kilindi Waziri aweso amewataka wakandarasi wa maji kuacha kufanya kazi kwa mazoea kwani wananchi wanahitaji huduma ya maji safi na salama Wilaya ya Kilindi ni wilaya ambayo ina changamoto ya maji kwa muda mrefu kutokana na ukosefu wa vyanzo vya uhakika vya Maji na kupata maji wananchi wanapata maji ya chumvi kutokana hali ya udongo wa wilaya hiyo. 'Wilaya ya kilindi tumeleta mitambo ya kuchimba visima lakini hadi sasa miradi inashindwa kuleta mafanikio tatizo nini' aliuliza waziri Aweso . "Hizi siku 60 ziendane na kuchimba wa visima na kufanya tathimini wananchi wapate maji na miradi yote ambayo ipo asilimia 95 ikamilika hadi mwezi Januari na yeyote atakaye sababisha kusuasua miradi hiyo nitamtafutia shughuli nyingine yakufanya"alisema Waziri wa maji