У нас вы можете посмотреть бесплатно VITU 5 VINAVYOFANYA KUKU WA KIENYEJI WATAGE MAYAI MENGI | Mbinu Bora za Ufugaji или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:
Если кнопки скачивания не
загрузились
НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу
страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru
Kama unafuga kuku wa kienyeji na unatamani waongeze uzalishaji wa mayai, video hii ni muhimu sana kwako. Katika video hii utafundishwa vitu 5 muhimu vinavyosaidia kuku wa kienyeji kutaga mayai mengi na kwa afya bora. Utajifunza mambo muhimu kama: Lishe bora kwa kuku wa kienyeji Umuhimu wa maji safi kwa kuku Mazingira mazuri ya banda Umuhimu wa madini kama chokaa na dagaa Njia za kupunguza msongo wa kuku Ukizingatia mambo haya, kuku wako wataongeza uzalishaji wa mayai na utapata faida zaidi kwenye ufugaji wako. Jiunge na kundi letu la WhatsApp ujifunze zaidi kuhusu ufugaji bora wa kuku. Utajiunga kwa miezi miwili kwa Tsh 8,000/= tu. Pia tunapatikana na vitabu vya ufugaji: Safari ya Ufugaji (Toleo Jipya) Tiba za Asili kwa Kuku Ufugaji Bora wa Kuku wa Kienyeji Ufugaji wa Broiler Karibu tujifunze pamoja. Tufuge pamoja, ufugaji ni fursa. TAGS kuku wa kienyeji, kuku kutaga mayai mengi, ufugaji wa kuku wa kienyeji, chakula cha kuku wa kienyeji, kuongeza mayai ya kuku, ufugaji wa kuku Tanzania, mbinu za ufugaji wa kuku, kienyeji chicken farming