У нас вы можете посмотреть бесплатно TUTAWASAKA WALE WOTE WANAOENDELEA NA VITENDO VYA WIZI WA UMEME или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:
Если кнопки скачивания не
загрузились
НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу
страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru
@ZECO Zanzibar Mkuu wa Wilaya ya Magharibi B, Mhe. Amour Mmanga pamoja na Wafanyakazi wa Shirika la Umeme Zanzibar (ZECO) jana wamefanya ziara ya kushtukiza katika nyumba moja inayosadikiwa kufanya matumizi ya umeme kinyume na utaratibu. Kupitia mafundi wa ZECO baada ya uchunguzi wamebaini nyumba hiyo inafanya hujuma za wizi wa umeme. Mhe. DC ametoa wito kwa wananchi kuacha mara moja mwenendo huo pamoja na kuwakumbusha wananchi kuwafichua watu kama hao. Nae Afisa Uhusiano wa Shirika la Umeme Zanzibar (ZECO) Ndg. Khamis Mnubi ameiasa jamii kuacha tabia hizo kwani adhabu zake ni kali sana kwa atakaebainika kufanya vitendo hivyo. ZECO, tupo kung'arisha maisha yako.