У нас вы можете посмотреть бесплатно WANANCHI WATAKIWA KUFICHUA WAFANYABIASHARA WA DAWA ZA KULEVYA или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:
Если кнопки скачивания не
загрузились
НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу
страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru
MBUNGE TANGA AIBUKIA MAPAMBANO DHIDI YA DAWA ZA KULEVYA Mbunge wa Jimbo la Tanga, Kassim Mbaraka, ametoa wito kwa wananchi kushirikiana na vyombo vya dola katika vita dhidi ya dawa za kulevya kwa kuwafichua wahusika wa biashara hiyo haramu Akizungumza Wakati akifunga Mafunzo ya siku tano kwa Wakufunzi wa kutoa huduma Kwa waathirika wa dawa za kulevya , Mbunge wa Jimbo la Tanga Kassim Mbraka amesema endapo Wananchi watawafichua wafanyabiashara wa dawa hizo itasaidia kupunguza matumizi Kwa jamii. Katibu Mtendaji wa asasi ya kiraia ya Gift of Hope jijini Tanga, Said Bandawe, amesisitiza umuhimu wa jamii kuacha matumizi ya dawa za kulevya na kuchangamka katika mapambano dhidi ya tabia hiyo hatarishi Wahitimu wa mafunzo hayo wamesema wamejifunza mbinu mbalimbali za kitaalamu za kuwahudumia waraibu, ikiwemo ushauri nasaha na ufuatiliaji, hatua itakayowasaidia kutoa huduma bora zaidi kwa jamii. @Saidraisa CloudsDigitalUpdates