У нас вы можете посмотреть бесплатно TAA YAPANDA MITI 500 KUMUUNGA MKONO RAIS SAMIA или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:
Если кнопки скачивания не
загрузились
НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу
страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru
TAA YAPANDA MITI 500 KUMUUNGA MKONO RAIS SAMIA Katika kumuunga mkono Rais Dkt. Samia Suluhu Hassani, kudhibiti mabadiliko ya tabia ya nchi na kurejesha uoto wa asili, Shirika la TAA lenye maskani yake Mkoani Singida Chini ya Mkurugenzi wake Suphian Juma Nkuwi limefanikiwa kupanda miti 500 katika shule ya Msingi Makhongo iliyopo Halimashauri ya Wilaya ya Ikungi, mkoani Singida. Akizungumza baada ya kupandwa kwa miti hiyo, Mkurugenzi wa shirika hilo Suphian Juma, amewaasa wanafunzi waliohudhuria upandaji wa miti hiyo kupanda walau miti 5 kwa kila kaya ili kuongeza kasi ya utunzaji wa mazingira na kudhibiti athari za mabadiliko ya tabia ya nchi. @@officialrobertnho #Cloudsdigtalupdates