ะฃ ะฝะฐั ะฒั ะผะพะถะตัะต ะฟะพัะผะพััะตัั ะฑะตัะฟะปะฐัะฝะพ ๐๐๐๐๐ ๐๐ ๐๐๐๐๐๐๐๐๐ ๐๐๐๐๐ - ๐๐๐๐๐๐๐ ๐๐ ๐๐๐๐๐ ะธะปะธ ัะบะฐัะฐัั ะฒ ะผะฐะบัะธะผะฐะปัะฝะพะผ ะดะพัััะฟะฝะพะผ ะบะฐัะตััะฒะต, ะฒะธะดะตะพ ะบะพัะพัะพะต ะฑัะปะพ ะทะฐะณััะถะตะฝะพ ะฝะฐ ัััะฑ. ะะปั ะทะฐะณััะทะบะธ ะฒัะฑะตัะธัะต ะฒะฐัะธะฐะฝั ะธะท ัะพัะผั ะฝะธะถะต:
ะัะปะธ ะบะฝะพะฟะบะธ ัะบะฐัะธะฒะฐะฝะธั ะฝะต
ะทะฐะณััะทะธะปะธัั
ะะะะะะขะ ะะะะกะฌ ะธะปะธ ะพะฑะฝะพะฒะธัะต ัััะฐะฝะธัั
ะัะปะธ ะฒะพะทะฝะธะบะฐัั ะฟัะพะฑะปะตะผั ัะพ ัะบะฐัะธะฒะฐะฝะธะตะผ ะฒะธะดะตะพ, ะฟะพะถะฐะปัะนััะฐ ะฝะฐะฟะธัะธัะต ะฒ ะฟะพะดะดะตัะถะบั ะฟะพ ะฐะดัะตัั ะฒะฝะธะทั
ัััะฐะฝะธัั.
ะกะฟะฐัะธะฑะพ ะทะฐ ะธัะฟะพะปัะทะพะฒะฐะฝะธะต ัะตัะฒะธัะฐ ClipSaver.ru
Programu ya URITHI WA KIJANI GAIRO (Gairo Green Legacy) ni Mkakati maalumu Gairo unaolenga kuboresha Sekta ya Kilimo na Mazingira. Katika kipindi Cha Miaka ya hivi karibuni Dunia imeshuhudia athari kubwa za Mabadiliko ya Tabianchi kutokana na kiwango Kikubwa cha uharibifu wa Mazingira. Nchi yetu Tanzania, kadhalika Wilaya yetu ya Gairo tumeshuhudia majanga mbalimbali ambayo yamekuwa na athari katika maisha ya Jamii. Sekta ya Kilimo, Mifugo, Maji na Sekta zingine zimekuwa zikipata madhara makubwa sana kutokana na athari za Mabadiliko ya Tabianchi. Hivyo, Wilaya yetu ikaamua kufanya maamuzi ya makusudi kuchukua hatua za kutunza na kuhifadhi Mazingira. Kupitia program ya Urithi wa Kijani Gairo tunaelimisha Jamii kuhusu umuhimu wa kutunza Mazingira, tunaendesha program za Upandaji wa Miti katika maeneo mbalimbali, tunahamasisha Kilimo Hifadhi, uundaji wa clubs za Mazingira Shule za Msingi na Sekondari na mambo mengine.