У нас вы можете посмотреть бесплатно 'TOENI MIKOPO INAYOKIDHI' RC MRINDOKO. или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:
Если кнопки скачивания не
загрузились
НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу
страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru
KATAVI: Wananchi katika halimashauri ya Mpimbwe mkoani Katavi wanaendelea kujikwamua kiuchumi kutokana na mikopo ya asilimia kumi inayotokana na mapato ya ndani. Mkurugenzi mtendaji wa halimashauri ya Mpimbwe Shamimu Mwariko amesema jumla ya milioni 365 zimetolewa kwa vijana, wanawake na watu wenye ulemavu huku mkuu wa wilaya ya Mlele alhaji Majid Mwanga akiwapongeza watumishi wa halimashauri hiyo kwa namna wanavyosimamia mapato. Kupitia hali hiyo mkuu wa mkoa wa Katavi Mwanamvua Mrindo ameagiza halimashauri zote katika mkoa huo kujipanga namna ya kuanza kutoa mikopo zaidi ya uanzishwaji wa viwanda vidogo vidogo.