У нас вы можете посмотреть бесплатно JAMII YATAKIWA KUPINGA VISABABISHI VYA UMASKINI или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:
Если кнопки скачивания не
загрузились
НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу
страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru
Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma, Brigedia Jenerali Ahmed Abbas Ahmed, amesema kuwa katika kuadhimisha Siku ya Wanawake Duniani ni muhimu jamii ikakumbushwa kuimarisha juhudi za kupinga visababishi vya umaskini vinavyotokana na wanawake kunyimwa haki, hususan katika umiliki wa rasilimali ardhi. Akizungumza katika kilele cha maadhimisho hayo yaliyofanyika Halmashauri ya Wilaya ya Songea, amesema kumwezesha mwanamke ni kuiwezesha jamii nzima, hivyo wanawake wanapaswa kupewa nafasi katika huduma za kifedha, elimu na uongozi.