У нас вы можете посмотреть бесплатно KIJITONYAMA LUTHERAN CHURCH : IBADA YA EVENING GLORY -THE SCHOOL OF HEALING 13 NOVEMBER 2025 или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:
Если кнопки скачивания не
загрузились
НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу
страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru
KIJITONYAMA LUTHERAN CHURCH : IBADA YA EVENING GLORY -THE SCHOOL OF HEALING 13 NOVEMBER 2025 SIKU YA 11 YA MAFUNGO YA KUMALIZA MWAKA 2025 NA KUOMBEA MWAKA 2026 NENO KUU: "HOW SHALL THIS BE?" (LITAKUWAJE NENO HILI?) Luka 1 : 34b MADA: FROM HOW TO WHO "INAWEZEKANA" SOMO LA LEO : MIMI YA MUNGU (THE I AM THAT I AM) Isaya 41 : 10 10 usiogope, kwa maana mimi ni pamoja nawe; usifadhaike, kwa maana mimi ni Mungu wako; nitakutia nguvu, naam, nitakusaidia, naam, nitakushika kwa mkono wa kuume wa haki yangu. 1 Nyakati 4 : 9 - 10 9 Naye Yabesi alikuwa mwenye heshima kuliko nduguze; na mamaye akamwita jina lake Yabesi, akisema, Ni kwa sababu nalimzaa kwa huzuni. 10 Huyo Yabesi akamlingana Mungu wa Israeli, akisema, Lau kwamba ungenibarikia kweli kweli, na kunizidishia hozi yangu, na mkono wako ungekuwa pamoja nami, nawe ungenilinda na uovu, ili usiwe kwa huzuni yangu! Naye Mungu akamjalia hayo aliyoyaomba. Wafilipi 3 : 12 -1 4 12 Si kwamba nimekwisha kufika, au nimekwisha kuwa mkamilifu; la! Bali nakaza mwendo ili nipate kulishika lile ambalo kwa ajili yake nimeshikwa na Kristo Yesu. 13 Ndugu, sijidhanii nafsi yangu kwamba nimekwisha kushika; ila natenda neno moja tu; nikiyasahau yaliyo nyuma, nikiyachuchumilia yaliyo mbele; 14 nakaza mwendo, niifikilie mede ya thawabu ya mwito mkuu wa Mungu katika Kristo Yesu. AGENDA ZA MAOMBI 1. TOBA JUU YA KILE AMBACHO KIMEKUNYIMA NAFASI NDANI YA MIOYO YA WATU. Ezekiel 16 : 4 4 Na katika habari za kuzaliwa kwako, siku ile uliyozaliwa, kitovu chako hakikukatwa, wala hukuoshwa kwa maji usafishwe; hukutiwa chumvi hata kidogo, wala hukutiwa katika nguo kabisa. 2. OMBA NGUVU YA KUHUISHWA KWENYE NAFASI AMBAZO UMEKUFA KATIKA MIOYO YA WATU Warumi 8 : 11 11 Lakini, ikiwa Roho yake yeye aliyemfufua Yesu katika wafu anakaa ndani yenu, yeye aliyemfufua Kristo Yesu katika wafu ataihuisha na miili yenu iliyo katika hali ya kufa, kwa Roho wake anayekaa ndani yenu. 3. JIOMBEE NEEMA YA KUACHILIA MAMBO YALIYOPITA ILI KUWEZA KUPOKEA MWANZO MPYA Wafilipi 3 : 14 14 nakaza mwendo, niifikilie mede ya thawabu ya mwito mkuu wa Mungu katika Kristo Yesu. 4. KUJIOMBEA KIBALI NA KUJIFUNGUA KATIKA TANZI ZA HISIA YA KUSHINDWA Wafilipi 4 : 13 13 Nayaweza mambo yote katika yeye anitiaye nguvu. 5. KUOMBEA MIPANGO YAKO YA MUDA MFUPI NA ILE YA MUDA MREFU Zaburi 37 : 5 5 Umkabidhi Bwana njia yako, Pia umtumaini, naye atafanya. Mhubiri: Mwl.Renald Mlawi. Kwa maombi na ushauri : Mch. Kiongozi: Dr. Eliona Kimaro Simu: +255 655 516 053, +255 754 516 053 Mch. Msaidizi: Anna Kuyonga Simu: +255 713 553 443 YouTube: Kijitonyama Lutheran church Barua Pepe : [email protected]