• ClipSaver
  • dtub.ru
ClipSaver
Русские видео
  • Смешные видео
  • Приколы
  • Обзоры
  • Новости
  • Тесты
  • Спорт
  • Любовь
  • Музыка
  • Разное
Сейчас в тренде
  • Фейгин лайф
  • Три кота
  • Самвел адамян
  • А4 ютуб
  • скачать бит
  • гитара с нуля
Иностранные видео
  • Funny Babies
  • Funny Sports
  • Funny Animals
  • Funny Pranks
  • Funny Magic
  • Funny Vines
  • Funny Virals
  • Funny K-Pop

Salama Na LAMATA SE6 EP 04 FULL SHOW |WATASWIRA PART 1| SendTip MPESA LIPA NO 5578460 скачать в хорошем качестве

Salama Na LAMATA SE6 EP 04 FULL SHOW |WATASWIRA PART 1| SendTip MPESA LIPA NO 5578460 3 года назад

скачать видео

скачать mp3

скачать mp4

поделиться

телефон с камерой

телефон с видео

бесплатно

загрузить,

Не удается загрузить Youtube-плеер. Проверьте блокировку Youtube в вашей сети.
Повторяем попытку...
Salama Na LAMATA SE6 EP 04 FULL SHOW |WATASWIRA PART 1| SendTip MPESA LIPA NO 5578460
  • Поделиться ВК
  • Поделиться в ОК
  •  
  •  


Скачать видео с ютуб по ссылке или смотреть без блокировок на сайте: Salama Na LAMATA SE6 EP 04 FULL SHOW |WATASWIRA PART 1| SendTip MPESA LIPA NO 5578460 в качестве 4k

У нас вы можете посмотреть бесплатно Salama Na LAMATA SE6 EP 04 FULL SHOW |WATASWIRA PART 1| SendTip MPESA LIPA NO 5578460 или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:

  • Информация по загрузке:

Скачать mp3 с ютуба отдельным файлом. Бесплатный рингтон Salama Na LAMATA SE6 EP 04 FULL SHOW |WATASWIRA PART 1| SendTip MPESA LIPA NO 5578460 в формате MP3:


Если кнопки скачивания не загрузились НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru



Salama Na LAMATA SE6 EP 04 FULL SHOW |WATASWIRA PART 1| SendTip MPESA LIPA NO 5578460

#SalamaNa #SendTip Through MPESA #5578460 WA TASWIRA Kupitia maongezi yangu haya na Bi Leah Richard Mwendamseke huyu ambaye tunamfahamu kama Lamata ndo niliamini kwamba si kila umsikiae akiongea kwa sauti ya juu wakati yuko kazini kwake basi anaweza kuja kwenye meza ya Salama Na pia akaongea kama ambavyo anaongea anapokua kwenye comfort zone yake. Nayasema haya kwasababu wakati tunaandaa kipindi hiki ndo niligundua Lamata ni muoga au ni mtu asopenda kuwa mbele ya kamera kiasi gani! Binafsi sina mazoea naye ya hivyo zaidi ya kuifahamu kazi yake ambayo inaongea yenyewe. Tunafahamiana kupitia rafiki wa rafiki ila hatujawahi kukaa chini tukatia story na kufahamiana kama ambayo tulifanya kwenye maongezi haya. Namshkuru kwa kutafuta wasaa katika ratiba yake inayombana haswa lakini alihakikisha anatafuta wasaa ili aje akae nasi na tuongee kuhusu yeye na fikira zake kwenye mambo mengi. Mzaliwa wa Mbeya na ambaye kipaji chake cha uandishi kilianza kuonekana alfajiri kabisa, Lamata anasema Mama yake mzazi ndo shabiki nambari moja wa kazi yake. Kwenye dunia hii na maisha ambayo wengi wetu tumepitia ni nadra sana kumkuta mzazi anaamini kwenye kipaji cha mwanae na kumpa moyo wa kutaka akiendeleze. Mama yake alikua anamsifia uandishi wake na kutaka amalizie zile aliziandika ili yeye ndo awe wa kwanza kuzisoma. Au wakiwa wamekaa wanaangalia tamthilia au sinema atahakikisha anamkiliza mwanawe juu ya maoni yake na hata wakati mwengine kumuuliza kama ingekua yeye angemaliza hiyo sinema au tamthilia kwa angle ipi. Story kadhaa alinipa juu ya safari yake hiyo, shuleni nako alikua burudani pia kwa baadhi ya waalimu na wanafunzi wenzake. Kitu ambacho kilikua kinafanya mambo yake yaende ki ulaini kabisa. Kwa sasa tamthilia zake anazoandika ndo moja ya vivutio vikubwa kwenye DSTV kwa upande wa channel za ukanda wetu huu, ila tukumbuke pia alianzia kwenye filamu kabla ya kujikita rasmi kwenye tamthilia. Safari yake haikua tu rahisi. Alinihadithia jinsi alivyosaka upenyo na kuhangaika huku na kule ilimradi tu apate mtu wa kumuingiza ndani ITV na aweze KUSIKILIZWA na yoyote anayehusika. Tukumbuke pia ilibidi awe muingizaji wakati flani na hiyo pia ilikua ni moja ya njia za yeye kutaka kupata upenyo, kuwa mbele ya camera si vitu pendwa vya Lamata KABISA ila ilibidi afanye hivyo ili mambo yake yakae sawa. Haya maongezi yetu yalijaa ukweli na uwazi juu ya karibu kila kitu kinachohusu maisha yake. Marafiki pia tuliwazungumzia. Ukaribu wake na baadhi ya waigizaji anaofanya nao kazi, jinsi anavyotoa nafasi kwa wenye vipaji na vile vile tuliongelea suala la ajira na ushawishi kwenye kiwanda cha filamu na burudani hapa nyumbani. Yangu matumaini utapata mawili matatu hapa ya kuwezesha boti yako iende unapotaka. Kwa hilo, nakutakia kheri. Love, Salama. Support us through https://anchor.fm/yahstonetown/support SUBSRIBE TO OUR CHANNEL https://bit.ly/YahStoneTownSubs Listen our Podcast on Spotify Link https://spoti.fi/2Uxr6Cm‬ ‪ApplePodcast Link https://apple.co/2Ou1bru‬ GooglePodcast Link https://bit.ly/GooglePodcastSalamaNa Audiomack Link https://bit.ly/YahStoneTownAudioMack ‪YouTube Link http://bit.ly/YoutubeSalamaNa Soundtrack Yeah by @MarcoChali    • Marco Chali Feat One The Incredible & Msam...   Follow: Twitter:   / yahstonetown   Instagram:   / yahstonetown   Facebook:   / yahstonetown   Channel Administered by Slide Digital Instagram: www.instagram.com/slidedigitaltz

Comments
  • Salama Na ZITTO SE6 EP05 FULL SHOW | MWANDIGA'S VERY OWN PART 2| SendTip MPESA LIPA NO 5578460 3 года назад
    Salama Na ZITTO SE6 EP05 FULL SHOW | MWANDIGA'S VERY OWN PART 2| SendTip MPESA LIPA NO 5578460
    Опубликовано: 3 года назад
  • Salama Na LAMATA SE6 EP 04 FULL SHOW | WATASWIRA PART 2| SendTip MPESA LIPA NO 5578460 3 года назад
    Salama Na LAMATA SE6 EP 04 FULL SHOW | WATASWIRA PART 2| SendTip MPESA LIPA NO 5578460
    Опубликовано: 3 года назад
  • Salama Na DULLA MAKABILA SE6 EP 11|MZEE WA NDERE...MO PART 1|SendTip MPESA LIPA NO 5578460 3 года назад
    Salama Na DULLA MAKABILA SE6 EP 11|MZEE WA NDERE...MO PART 1|SendTip MPESA LIPA NO 5578460
    Опубликовано: 3 года назад
  • LAMATA: SIJAWAHI KUMUONA MWANAMKE MSAFI KUMZIDI KAJALA 9 месяцев назад
    LAMATA: SIJAWAHI KUMUONA MWANAMKE MSAFI KUMZIDI KAJALA
    Опубликовано: 9 месяцев назад
  • Salama Na Shikana Ep 17 | DYNAMITE Part 1 5 лет назад
    Salama Na Shikana Ep 17 | DYNAMITE Part 1
    Опубликовано: 5 лет назад
  • آهنگ هایده
    آهنگ هایده
    Опубликовано:
  • 🔴#🅻🅸🆅🅴 : BUNGENI MOTO UMEWAKA - WABUNGE  WAMUWASHIA MOTO WAZIRI MKUU- SPIKA ATOA HOJA NZITO
    🔴#🅻🅸🆅🅴 : BUNGENI MOTO UMEWAKA - WABUNGE WAMUWASHIA MOTO WAZIRI MKUU- SPIKA ATOA HOJA NZITO
    Опубликовано:
  • Украина 22 ноября! ЗАМЕРЗАЕМ! ЗАПАСАЕМСЯ! ОЧЕРЕДИ! Что происходит в Киеве сегодня?! 4 часа назад
    Украина 22 ноября! ЗАМЕРЗАЕМ! ЗАПАСАЕМСЯ! ОЧЕРЕДИ! Что происходит в Киеве сегодня?!
    Опубликовано: 4 часа назад
  • Story ya Baharia Evance Massawe aliyofanyiwa na Masoud Kipanya na CZA nchini South Africa 3 недели назад
    Story ya Baharia Evance Massawe aliyofanyiwa na Masoud Kipanya na CZA nchini South Africa
    Опубликовано: 3 недели назад
  • Mfahamu Aunty: 3 года назад
    Mfahamu Aunty: "Nimeishi Na Bibi, Kwenye Chumba Kimoja, Sina Rafiki" | SALAMA NA AUNTY PART 1
    Опубликовано: 3 года назад
  • ⚡️ Кремль и США обратились к Зеленскому || Путин готов к финалу 7 часов назад
    ⚡️ Кремль и США обратились к Зеленскому || Путин готов к финалу
    Опубликовано: 7 часов назад
  • Salama Na OSCAR OSCAR SE6 EP39 | UALIMU?! SI WITO!! PART 1 | SendTip MPESA LIPA NO 5578460 3 года назад
    Salama Na OSCAR OSCAR SE6 EP39 | UALIMU?! SI WITO!! PART 1 | SendTip MPESA LIPA NO 5578460
    Опубликовано: 3 года назад
  • PART1:EDWIN JAMBAZI SUGU ALIEONDOKA NA ROHO ZA WATU KUPITIA BUNDUKI KTK UJAMBAZI WA KIKATILI&KUTISHA 3 года назад
    PART1:EDWIN JAMBAZI SUGU ALIEONDOKA NA ROHO ZA WATU KUPITIA BUNDUKI KTK UJAMBAZI WA KIKATILI&KUTISHA
    Опубликовано: 3 года назад
  • Разбор плана Трампа: реальные шаги и опасные ловушки 6 часов назад
    Разбор плана Трампа: реальные шаги и опасные ловушки
    Опубликовано: 6 часов назад
  • Жириновский о евреях! Что будет, когда Израиль проиграет? 2004 год 2 года назад
    Жириновский о евреях! Что будет, когда Израиль проиграет? 2004 год
    Опубликовано: 2 года назад
  • 🔴#Live: YANGA SC VS AS FAR - HUU MPIRA HATA MCHINA HAWEZI KUTAFSIRI - ALAMA 3 NI MUHIMU I UCHAMBUZI
    🔴#Live: YANGA SC VS AS FAR - HUU MPIRA HATA MCHINA HAWEZI KUTAFSIRI - ALAMA 3 NI MUHIMU I UCHAMBUZI
    Опубликовано:
  • КРУТИХИН: Так не сработает. Кому выгоден 18 часов назад
    КРУТИХИН: Так не сработает. Кому выгоден "мирный" план Трампа, что с Лукойлом, Газпром, Росснефть
    Опубликовано: 18 часов назад
  • 🔴#live_KUTOKA ARUSHA! UMEONA WANAJESHI WALICHOFANYA MBELE YA RAIS SAMIA, AINGIA NA GARI LA KIJESHI 2 часа назад
    🔴#live_KUTOKA ARUSHA! UMEONA WANAJESHI WALICHOFANYA MBELE YA RAIS SAMIA, AINGIA NA GARI LA KIJESHI
    Опубликовано: 2 часа назад
  • Жёсткий ультиматум США / Срочный созыв Совета Безопасности 8 часов назад
    Жёсткий ультиматум США / Срочный созыв Совета Безопасности
    Опубликовано: 8 часов назад
  • 11 месяцев назад
    "Watu wa Kariakoo waliniokoa" na Lamata
    Опубликовано: 11 месяцев назад

Контактный email для правообладателей: [email protected] © 2017 - 2025

Отказ от ответственности - Disclaimer Правообладателям - DMCA Условия использования сайта - TOS



Карта сайта 1 Карта сайта 2 Карта сайта 3 Карта сайта 4 Карта сайта 5