У нас вы можете посмотреть бесплатно Fahamu jinsi ya kufanikiwa kutengeneza hesabu zako za mauzo или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:
Если кнопки скачивания не
загрузились
НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу
страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru
Moja kati ya mambo muhimu katika biashara ni kufanikiwa kutengeneza heasbu zako za mauzo. Ni muhimu kwa mfanyabiashara kutengeneza hesabu za mauzo ya biashara yako. Je, wewe ni mmoja kati ya wafanyabiashara ambao fedha inayopatikana kutokana na mauzo ya bidhaa au huduma, hutumia kwa matumizi yasiyo husiana na biashara? Kwa mfano fedha ya mauzo unatumia kununua chakula, Luku, nguo, kukodi gari, kununua petrol gari au pikipiki nk . Hii haikubaliki kabisa katika taratibu nzuri za kutunza na kuweka hesabu za mauzo ya bidhaa au huduma. Sasa basi zipi ni taratibu nzuri za kutunza na kutengeneza hesabu za mauzo ya bidhaa au huduma? Video hii inaeleza taratibu nzuri zinazokubalika za kutunza na kutengeneza hesabu za mauzo au hudema. 1. Soma eBooks za Ujasiriamali za Tan Business Channel: Wasiliana nasi kupitia Whatsapp 0716 682 439 2. Tan Business Online School: https://ali-mwambola-s-school.teachab... 3. Pata ushauri kupitia WhatsApp 255 716 682439 4. Pata habari zaidi kupitia website yetu: www.tanbusiness.co.tz 5. Mitandao yetu ya kijamii: Facebook: / tanbusiness Instagram: / tanbusiness YouTube: / alimwambola #jifunzeujasiriamali #vitabuvyaujasiriamali #alimwmabola #tuongeebiashara #tujifunzeujasiriamali #mizungukoyaujasiriamali