У нас вы можете посмотреть бесплатно MWANA FA AKAGUA UJENZI WA KIWANDA CHA UCHAPAJI TSN или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:
Если кнопки скачивания не
загрузились
НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу
страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru
DAR ES SALAAM: NAIBU Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Hamis Mwinjuma, amesema mkandarasi anayesimamia ujenzi wa jengo la kiwanda cha uchapaji cha Kampuni ya Magazeti ya Serikali (TSN) ameongezewa muda wa miezi mitatu ili kukamilisha ujenzi huo. Mwinjuma Ameyasema hayo leo baada ya kutembelea mradi huo katika makao makuu ya TSN, Tazara jijini Dar es Salaam, ambapo amesema anaamini sehemu iliyobaki ya umaliziaji wa ujenzi huo itakamilika ndani ya muda huo. Follow us on: FACEBOOK; SpotiLeo: / spotileo-176. . HabariLeo: / habarileo DailyNews: / dailynewstz INSTAGRAM; HabariLeo: https://instagram.com/habarileo_tz?ig... SpotiLeo: https://instagram.com/spotileo?igshid... TWITTER; Twitter HabariLeo: https://twitter.com/HabariLeo?s=09