У нас вы можете посмотреть бесплатно RPC SENGA AKAMATWA NA DOLA ZA MAREKANI MPAKANI TUNDUMA или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:
Если кнопки скачивания не
загрузились
НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу
страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru
ANASWA MPAKANI TUNDUMA AKIINGIZA NCHINI DOLA 160,000 ZA MAREKANI. Jeshi la Polisi Mkoa wa Songwe linamshikilia fundi magari, Hussein Juma Halili (32), mkazi wa Chanika jijini Dar es Salaam, kwa tuhuma za kujaribu kuingiza nchini kiasi cha dola za Marekani 160,000 (zaidi ya Shilingi milioni 400) bila kuwa na maelezo ya uhalali wa fedha hizo. Tukio hilo limetokea Agosti 20, 2025 katika kituo jumuishi cha forodha (OSBP) Tunduma, ambako mtuhumiwa alikamatwa na askari polisi pamoja na maafisa wa vyombo vingine vya usalama akiwa katika harakati za kuvuka mpaka akitokea nchini Zambia. Akizungumza na waandishi wa Habari Kamanda wa polisi Mkoa wa Songwe, SACP Augustino Senga, amesema kuwa, baada ya upekuzi kufanyika, fedha hizo zilipatikana zikiwa zimehifadhiwa ndani ya koti alilokuwa amevaa mtuhumiwa.