У нас вы можете посмотреть бесплатно VIJANA WAASWA KUWA WAZALENDO NA KUEPUKA MATUMIZI YA DAWA ZA KULEVYA. или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:
Если кнопки скачивания не
загрузились
НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу
страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru
TANGANYIKA: Mkuu wa wilaya Tanganyika Onesmo Buswelu amepokea Mwenge wa uhuru kutoka kwa Mkuu wa Wilaya ya Mpanda Jamira Yusuph ambao umetembele miradi 9 ukiwemo mradi wa maji Mnyagala iliyogharimu zaidi ya Bilioni 2. Aidha katika mapokezi hayo ya mwenge vijana zaidi ya 1000 katika Halimashauri ya wilaya ya Tanganyika Mkoani Katavi wamefanya kongamano la kujengewa uwezo wa kuwa wazalendo wa nchi yao. Wakizungumza baadhi ya watoa mada wamesema vijana ni nguzo ya Taifa pia katika kuleta maendeleo chanya katika Taifa. Baadhi ya vijana walioshiriki katika kongamano hilo wametoa maoni tofauti huku wakisema mafunzo hayo yatakuwa na matokeo chanya katika kufikia maendeleo ya Taifa. Kongamano hilo limefanyika katika viwanja vya shule ya msingi Mpanda ndogo iliyopo wilayani humo katika mapokezi ya mbio za mwenye wa uhuru 2024.