У нас вы можете посмотреть бесплатно Wanawake Karatu Wafanya Ziara Maalum Kituo cha Afya Kuelekea Siku ya Wanawake Duniani 2026 или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:
Если кнопки скачивания не
загрузились
НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу
страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru
Kuelekea maadhimisho ya siku ya wanawake duniani tarehe 8 Machi, wanawake wa Halmashauri ya Wilaya ya Karatu wameungana na wanawake wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Wilaya ya Karatu kufanya ziara ya kijamii katika Kituo cha Afya cha Wilaya. Katika ziara hiyo, wametoa michango mbalimbali pamoja na kushiriki zoezi la usafi wa mazingira kama sehemu ya maandalizi ya maadhimisho hayo yanayoongozwa na kaulimbiu: “Haki na Usawa kwa Wanawake na Wasichana: Msingi Jumuishi Kufikia Dira 2050.” Hatua hiyo imeonyesha mshikamano, uwajibikaji wa kijamii, na dhamira ya wanawake wa Karatu katika kuchangia maendeleo ya sekta ya afya na jamii kwa ujumla. #SikuYaWanawake #Karatu #UsawaWaKijinsia #Maendeleo #KNN