У нас вы можете посмотреть бесплатно Baraza la Madiwani Karatu Lapitisha Bajeti Ya Zaidi ya Shilingi Bilioni 56 Kwa Mwaka 2026/2027 или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:
Если кнопки скачивания не
загрузились
НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу
страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru
Katika kikao maalum cha bajeti, viongozi walijadili vyanzo vya mapato na matumizi ili kuhakikisha usimamizi bora wa fedha za umma na kuharakisha maendeleo ya wananchi. Mwenyekiti wa Halmashauri, Englibert Qorro, amesema bajeti hiyo itaelekezwa kwenye sekta za kipaumbele zikiwemo: Elimu, Afya, Uboreshaji wa miundombinu ya barabara, Huduma za kijamii!! Madiwani wamesisitiza uwajibikaji, usimamizi makini wa miradi ya maendeleo, pamoja na kuongeza ukusanyaji wa mapato ya ndani ili kufanikisha malengo yaliyopangwa kwa ustawi wa wananchi. Tazama video ujue mipango kamili ya maendeleo na mwelekeo wa bajeti hii muhimu. #Karatu #Bajeti2026_2027 #HabariZaMaendeleo #Tanzania #Maendeleo #NewsUpdate