У нас вы можете посмотреть бесплатно Mh. Cecilia Daniel Paresso Afuturisha Msikiti wa Karatu, Asisitiza Amani na Upendo! или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:
Если кнопки скачивания не
загрузились
НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу
страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru
Mnamo 27 Februari 2026, Mheshimiwa Cecilia Daniel Paresso, Mbunge wa Viti Maalum wa Mkoa wa Arusha na Mwenyekiti wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, aliisisitiza amani na upendo kwa Waislam na Wakristo wakati wa futari ya jioni aliyoiandaa kwa wananchi na waislam wa Karatu. Hafla hiyo ilifanyika katika Msikiti wa Noor, Karatu, na ilihudhuriwa pia na Engelbert Qorro, Mwenyekiti wa Halmashauri ya Wilaya ya Karatu, Mh. Juma Hokororo, Mkurugenzi Mtendaji wa Wilaya Ya Karatu, pamoja na viongozi wa dini na wananchi.