У нас вы можете посмотреть бесплатно WANUFAIKA WA MIKOPO YA HALMASHAURI WAASWA KUZITUMIA VIZURI FEDHA WATAKAZOZIPATA. или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:
Если кнопки скачивания не
загрузились
НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу
страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru
WANUFAIKA WA MIKOPO YA HALMASHAURI WAASWA KUZITUMIA VIZURI FEDHA WATAKAZOZIPATA. Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Hanang, Teresia Irafay, ametoa wito kwa vikundi vya wajasiriamali wanawake, vijana, na wenye ulemavu kuhakikisha wanatumia vyema mikopo wanayopata ili kuleta maendeleo ya kijamii na kiuchumi. Irafay ametoa wito huo wakati wa kufunga mafunzo ya siku mbili yaliyowashirikisha wanufaika wa mikopo ya 10 akiwahimiza wanufaika kuitumia mikopo katika shughuli zenye tija kama ufugaji wa kisasa na miradi mingine ya uzalishaji mali. Aidha, Irafay ameahidi kuwa halmashauri itaendelea kuvilea vikundi vilivyokosa sifa ya kukopeshwa katika awamu hii, akisisitiza kuwa juhudi zaidi zitafanyika kuhakikisha vikundi hivyo vinapata sifa zinazohitajika kwa awamu zijazo.